Saturday, September 8, 2012

Vijana Acheni Ulevi Jijini Dar limezuka wimbi la matapeli ambao huwanywesha vijana pombe na baadae kuwaibia kila kitu walichokuwa nacho. Vijana wanapenda Pombe wakati hawana kipato cha kutosha na hatimae kutaka kunywa pombe za bure. Jihadharini sana vijana, chapeni kazi, hali ya maisha ni ngumu sana.

No comments:

Zilizosomwa zaidi