Sunday, September 9, 2012

TANGAZO Wakazi wa Kasulu mkoani Kigoma Mnakaribishwa Mkutano Mkubwa wa Injili Utakaoanza tarehe 23-30 mwezi huu katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Murusi, Kasulu mjini. KARIBU USIKIE NENO LA MUNGU.

No comments:

Zilizosomwa zaidi