Tuesday, September 11, 2012

Simba sports club kuitwaa Ngao ya jamii katika uwanja wa taifa jijini Dar baada ya kuichala Azam FC ya Dar magoli 3-2. Azam ilifanikiwa kupata magoli yote mawili katika kipindi cha kwanza wakati simba walikuwa nyuma kwa goli moja hadi kipindi cha mapumziko. Lakini katika kipindi cha club ya Simba ilijihakishia ushindi baada ya kuongeza magoli mawili na kuyafanya matokeo kuwa Simba 3-2 Azam

No comments:

Zilizosomwa zaidi