Tuesday, September 11, 2012

Mbio za mwenge wa uhuru zinazoendelea nchi nzima leo zimefika huko wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Mwenge huo utalala wilayani kasulu katika uwanja wa Umoja uliopo Kasulu mjini.

No comments:

Zilizosomwa zaidi