Wednesday, September 5, 2012

Serikali nchini Tanzania imeandaa mpango maalum wa kutoa elimu kwa wafanyakazi wa selta ya afya, mpango huo unalenga kupunguza maambukizi ya Virusi vya ukimwi na magonjwa mengine yanayoenea kwa njia ya kutoa damu kwa kutumia sindano.

No comments: