Wednesday, September 5, 2012

Wakati leo mgomo wa waalimu wa shule za msingi na sekondari ukiingia siku ya nne nchini Kenya, wahadhiri nao wa vyuo vikuu wamepanga kuanza mgomo leo nao wakiitaka serikali kuwaongezea mishahara. Chanzo:BBC

No comments: