Wednesday, September 5, 2012

Tume ya kukusanya maoni kuhusu katiba mpya ikiongozwa na ndg Warioba imetua wilayani Kasulu mkoani Kigoma, tume hiyo itaanza kukusanya maoni ya wakazi wa wilaya ya kasulu leo Alhamis 6 august katika uwanja wa umoja Kasulu mjini kuanzia sa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Wananchi wote wanaombwa kuhudhuria na kushiriki katika shughuli hiyo moja kwa moja au kwa kuandika waraka na kuufikisha kwa tume hiyo.

No comments: