Thursday, September 6, 2012

Tume ya kukusanya maoni imeendelea kukusanya maoni kuhusu katiba wilayani kasulu mkoani Kigoma. Baadhi ya maoni yaliyotolewa na wakazi wa Kasulu ni pamoja na Kupunguza madaraka ya raisi, Isiwepo mahakama ya Kadhi na Jumuia ya waislam OIC, Asiwepo mkuu wa wilaya, Kuwepo serikali ya majimbo na kuwepo kwa Uhuru wa dini nchini.

No comments: