*Wasiliana nasi: Simu : 0713-914 416 , E-mail: fdogeje@gmail.com
Pages
Home
National/Local
Sports & Intertainment
Bussiness
Photos
TANGAZA NASI HAPA
Monday, September 3, 2012
Leo mgomo wa waalimu nchini Kenya umeingia siku ya pili, maelufu ya walimu waendelea kuilalamikia serikali kushindwa kutekeleza malalamiko yao ya mishahara.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
ITAZAME HAPA VIDEO YA BE-BLACK FT EDDO "ACHA DHARAU"
Club ya Tp Mazembe kutoka nchini DRC imefanikiwa kutinga nusu fainali katika michuano ya ligi bara la Afrika baada ya kuilaza Al Ahly ya Misri bao mbili kwa bila.
Waziri wa michezo na utamaduni Bi Fenela Mkangara, amewataka watanzania kuanza kujiandaa mapema kabisa katika mashindano ya Olympik 2013. Amesema kuwa watanzania wengi hulalamika pale ambapo vijana wao wanafanya vibaya katika mashindano. Kama maandalizi yataanza mapema kuna uhakika wa kufanya vizuri katika mashindano hayo kwa mwaka 2013
WAZO LANGU. Haya makundi mbalimbali vya muziki maarufu kama "Mduara" yanatoa wapi maadili na ujasiri wa watoto wa kike kukata viono hadharani wakiwa wamevalia Khanga moja? Kama ni uhuru basi wasanii Tanzania wamepewa uhuru uliopitiliza hadi kufikia hatua ya wasanii wenyewe kushindwa kujiheshimu. Hivi kizazi cha leo watoto wanajifunza nini kupitia mchezo kama huo? Ni vizuri basi wasanii walioachiwa huru kuhusika katika muziki huo kufuata maadili, kwani kushindwa kwao kufuata maadili kinachofuata ni kujiabisha wenyewe na taifa kwa ujumla. Pia serikali iliangalie suala hili kwa jicho la pili ili kulinusuru taifa katika wimbi hili zito la "Khanga moja ndembendembe".
UCHAGUZI TFF KUFANYIKA OCTOBA 27
...
No comments:
Post a Comment