Tuesday, September 4, 2012
Hili ndilo tamko la Chadema kuhusu kifo cha mwandishi wa habari David Mwangosi huko iringa. John Mnyika ameitaka serikali kuwasimamisha kazi Askari wote waliohusika kurusha bomu lililosababisha kifo cha mwandishi huyo pindi uchunguzi unapoendelea. Waandishi wa habari nao mkoani Mbeya wameahidi kutoandika taarifa yoyo inayoihusu jeshi la Polisi hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Roy Hodgson Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hudson amemuonya mshambuliaji wa Mancheter United Wyne Rooney kuwa kunahatar...
-
-
-
-
. . . … . . . . . . . . . . . . .
No comments:
Post a Comment