Monday, September 3, 2012

Januari Makamba awaonya wapinzani kwenda Tanga. Ni wakati alipokuwa akifanya kikao na wanachama wa CCM huko Lushoto. Alisema hataki kusikia habari za mikutano yenye vurugu inayofanywa na Chadema.

No comments: