Wednesday, September 12, 2012

Aliyoyaandika mchungaji Munishi katika facebook kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari. SERIKALI YA TANZANIA NDIYO INAYOWAPA KIBURI ASKARI, WANANCHI WASIYALAUMU MATAWI BADALA YAKE WAULAMU MTI WENYE MATAWI. Tangu enzi za Nyerere, waandishi walitumiwa na serikali kuwanyanya wananchi wasiokuwa na hatia. Sasa joka limewageukia na kuanza kuyakata matawi, waandishi hawana budi kuukata mti wenye matawi hayo uliopo Tanzania.

No comments:

Zilizosomwa zaidi