Tume ya kukusanya Maoni ya Katiba mpya inayoongozwa na Wariobo, imefika wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Tume hiyo itaanza kukusanya maoni ya wakazi wa wilaya hii kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja za jioni katika uwanja wa umoja ndani ya Kasulu mjini.
No comments:
Post a Comment