Wednesday, September 12, 2012

Hatimae chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA chakili kufadhiliwa kutoka nje ili kujijenga kiuwezo. Haya yamethibitishwa na katibu wa cha hicho dk Willbrod Slaa alipokuwa kwenye simina hapo jana iliyohusisha viongozi mbalimbali wa chama hicho na wengine kutoka katika chama cha kikiristu CDU cha nchini Ujerumani.

No comments:

Zilizosomwa zaidi