Wednesday, September 12, 2012

Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud anusilika kufa katika shambulizi la kujaribu kumuua mjini mogadishu. Shambulizi hilo lilitokea karibu na makazi yake alipokuwa akijiandaa kwa kikao. Katika shambulizi hilo watu wanne wameripotiwa kufa na watatu kujeruhiwa

No comments:

Zilizosomwa zaidi