Monday, August 27, 2012

Wekundu wa Msimbazi Simba sports club, inatarajia kumalizia mchakato wa usajili wa mchezaji Koman Bill Keita kutoka nchini Mali kwa thamani ya dola 30 za kimarekani. Beki huyo atachukua nafasi ya Mussa Mude ambaye amekuwa majeruhi kwa mda mrefu.

No comments: