Monday, August 27, 2012

Shughuli ya sensa inaendelea siku ya pili sasa lakini changamoto nyingi zinawakabiri makarani wa sensa. Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na Uhaba wa vifaa vya kazi, kukosa sale na vitambulisho jambo ambalo inawawia vigumu sana kutambulika wanapofika katika baadhi ya kaya.

No comments: