Monday, August 27, 2012

Baada ya wafuasi wa Chadema mkoani Morogoro kutaka kufanya maandamano kuelekea kwenye mkutano unaofanyika uwanja wa ndege, imewalazima Polisi mkoani humo kutumia mabomu ya machozi kutuliza maandamano hayo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi