Wednesday, August 15, 2012

Mbunge wa Mwanza Bw Andrew Chenge amewaomba wabunge wote kujadili na kuweka wazi ni lugha ipi itumike katika kufundishia shule za msingi. Amesema kuwa lugha ya kiswahili ndio inayotumika kwa sasa lakini viongozi na wabunge wanaoipa lugha hiyo kipaumbele bado wanawapeleka watoto wao katika shule zinazofundisha kiingereza tu. Chenge ameongeza kuwa hali kama hii inasababisha matabaka ya kielimu katika jamii.

No comments:

Zilizosomwa zaidi