Wednesday, August 15, 2012

Mechi ya kirafiki iliyokuwa inachezwa kati ya Tanzania na Botswana imemalizika kwa kufungana gori tatu kwa tatu. Magori ya Tanzania yamepatikana kupitia wachezaji watatu ambao ni Mrisho Ngasa, Kazimoto pamoja na Nyoni.

No comments:

Zilizosomwa zaidi