Tuesday, November 19, 2013
WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA NDANI YA GARI LA ABIRIA
Katika hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika gari ambao wanasadikiwa kuwa ni machangudoa huko nchini Nigeria wamekutwa wamekufa.
huku ikisemekana chanzo cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika gari hilo kwani vioo vyote vilikua vimefungwa na hivyo kusaoketi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Azania wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi katika mahafa...
-
Tottenham Hotspur 2- 4 Chelsea Fulham 1 - 0 Aston Villa Liverpool 1 - 0 Reading Manchester United 4 - 2 Stoke City Swansea City 2 - 1 W...
-
Gari la zimamoto la Ultimate Security lililofika eneo la tukio .GPL (P.T) ...
-
-
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunaendelea kufuatilia kwa kar...
No comments:
Post a Comment