Jana
zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond
wamedakwa na polisi na passport zao za kusafiria zimezuiwa....
Taarifa
hizo zimemfanya Masanja afunguke na kudai kwamba habari hizo
si za kweli, ni habari zenye lengo la kumchafulia jina.
Masanja ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yeye ni mtumishi wa mungu, yeye ni mjasiliamali na ni mkulima pia.
Mali
alizonazo zinatokana na juhudi zake za kazi. TBC wanamlipa
milioni 5 kwa mwezi.Stoo ana magunia ya mpunga zaidi ya 1000
na kila gunia linauzwa zaidi ya 200,000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila...
-
Ajabu na kweli, katika ajari hiyo hapana mtu aliyepoteza maisha
-
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), imesema inawadai wateja sugu Sh40 bilioni huku ikiwataka kulipa madeni hayo...
-
-
Watu 13 wamefariki na wengine 11 kujeruhiwa vibaya katika ajari iliyotokea mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo. Ajari hiyo imehusisha ma...

No comments:
Post a Comment