Watuhumiwa wa uhamiaji haramu wakiwa katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya manispaa ya Bukoba wakisubiri kuhojiwa
Maofisa uhamiaji wakiwajibika
Anaonekana
Mkuu wa Oparesheni Kimbunga kwa upande wa Idara ya Uhamiaji Mkoani
Kagera DCI. Mvano Abdu akiwa msituni pamoja na makamanda wakati wa
zoezi la Oparesheni Kimbunga likiendelea
Mambo yakiwa yanazidi kupamba moto
Safari ya wahamiaji kuelekea Nchini Uganda
Vikosi vya Askari wakiingia kijiji cha Katoro kuanza msako wa wahalifu na wahamiaji haramu mkoa wa Kagera
Wahamiaji wakiwa katika mpaka wa Rusumo Wilayani Ngara wakiwa katika utayari kuvuka kwenda nchini Rwanda
Maofisa uhamiaji, polisi, jeshi na mgambo wakikagua nyumba ya mhamiaji haramu kijijini Kagarama
Msako mkali ukiendelea Wilaya ya Bukoba Vijijini
Sehemu ya wahamiaji kutoka vijiji vya Bugabo, Kagabiro- Kasharu, Buhendangabo, Kaagya, Kishanje Rubafu, Mwizi na Izimbya ndani ya Wilaya ya Bukoba Vijijini
Askari wanaondesha msako wa nyumba kwa nyumba wakisubiri kupewa maelekezo ya utekelezaji wa Oparesheni Kimbunga
Wahamiaji raia wa Rwanda wakipata chai hapa ni katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba
Askari akihakikisha kila mhamiaji anapata haki yake bila kusumbuliwa
Huduma safi ya chai kwa wahamiaji
Wahamiaji haramu wakisubiri kurudishwa makwao katika kambi ya Biharamulo
Msako
ukiendelea ambapo wahamiaji haramu waliokamatwa katika kijiji cha
Kagarama wakipanda gari ili kupelekwa kambi ya Kagemu kuhojiwa zaidi
Kupitia Bukobawadau Blog picha kwa hisani ya Mwanahabari Dullah kutoka mipakani mkoani hapa
No comments:
Post a Comment