
Akisomewa shitaka lake mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Mwanza, ofisa wa TAKUKURU Bi. Debora amedai kuwa Songoma alitenda kosa hilo may tano mwaka jana ambapo maofisa wa TAKUKURU walifanikiwa kumtia mbaroni wakati akijiandaa kupokea rushwa ya ngono ndani ya gesti moja jijini mwanza katika mtego ambao uliandaliwa na mwalimu huyo.
Hata hivyo, Afisa huyo amekana shitaka hilo na kesi yake imeahirishwa hadi septemba 13 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment