Mvua kubwa iliyonyesha nchini Indonedia imesababisha vifo vya watu sita na wengine 18 hawajulikani walipo baada ya ardhi kuporomoka katika kisiwa cha Java nchini humo.
Mamia ya polisi, wanajeshi na umma wamekuwa wakichimba magofu wakiwatafuta walionusurika..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
(Kutoka kwa Nathani)
-
KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika uchaguzi wa ngazi ya wil...
-
Utangulizi Ndugu wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha ...
-
Wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi Dar es Salaam, wameendelea kukamatwa na kurejeshwa kwao, ambapo pia imebainika wengi walikuwa wauza k...
No comments:
Post a Comment