Mapigano ya awali katika Tana River pia yalisababisha vifo vya watoto na akina mama
Takriban watu 8 wameuawa na
wengine kujeruhiwa katika mapigano
mapya eneo la Tana River kusini
mashariki mwa Kenya.
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shirika la msalaba
mwekundu
No comments:
Post a Comment