WATU wawili wamefariki dunia na
wengine 36 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Bunda Express lenye namba za usajili T 782 BKZ, likitokea Musoma kuelekea Mwanza kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha
Ngashe kata ya Kahangara wilayani Magu mkoani Mwanza. Ajari hii imetokea wakati mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.
No comments:
Post a Comment