MBUNGE wa Ubungo John Mnyika, ametaja majina ya watu 16 ndani ya Shirika
la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao amewahusisha na ufisadi ndani ya
shirila hilo la umma.
Kati ya majina hayo ambayo ameyaita kuwa ni ya awamu ya kwanza wamo
baadhi ya waliokuwa watendaji wa shirika hilo ambao wamesimamishwa
kupisha uchunguzi unaofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za
Serikali (CAG).
Alipoulizwa wiki iliyopita kuhusu uchunguzi huo, GAG Ludovick Utouh
alisema uchunguzi huo umeshakamilika na kilichokuwa kikisubiriwa ni
kuikabidhi ripoti hiyo kwa bodi ya Tanesco.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Wote tunafahamu kuwa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania Daudi Balali alifariki dunia tarehe 16.05.2008 huko Boston, Mareka...
-
Wakati Serikali ikiahidi kuboresha elimu nchini kwa kuhakikisha inaajiri walim...
-
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila 'RAY C' akimshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa matibabu aliom...
-
-
Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru akiwa kwenye gar...
No comments:
Post a Comment