Monday, December 24, 2012
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Bw Suleiman Kova, amesema jeshi la polisi nchini limejipanga vyema katika kuimarisha ulinzi wakati wa sikuku hizi za Krismass na mwakampya. 'Mtu yeyote atakayepatikana akijihusisha na vitendo vinavyoweza kusababisha vurugu, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila...
-
Ajabu na kweli, katika ajari hiyo hapana mtu aliyepoteza maisha
-
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), imesema inawadai wateja sugu Sh40 bilioni huku ikiwataka kulipa madeni hayo...
-
-
No comments:
Post a Comment