*Wasiliana nasi: Simu : 0713-914 416 , E-mail: fdogeje@gmail.com
Pages
Home
National/Local
Sports & Intertainment
Bussiness
Photos
TANGAZA NASI HAPA
Wednesday, October 17, 2012
TANZANIA NA MALAWI TENA.
Baada ya mvutano wa hapa na pale, Serikali ya Malawi imekubali kurudi katika
meza ya mazungumzo kuhusu mgogoro wa mpaka katika Ziwa Nyasa kati yake
na Tanzania. Hii yote
ni katika kutafuta suruhu kwa njia ya amani
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
KENYATA ATUA ICC
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya ...
Club ya Tp Mazembe kutoka nchini DRC imefanikiwa kutinga nusu fainali katika michuano ya ligi bara la Afrika baada ya kuilaza Al Ahly ya Misri bao mbili kwa bila.
KAMA VITUKO, HIKI NACHO KIMO.
Tayari mvua zimeanza kunyesha mkoani mwanza. Baadhi ya wakazi jijini Mwanza wamesema kuwa mwaka huu mvua zimeanza kunyesha mapema na hivyo hawana budi kuanza kuandaa mashamba kwa ajiri ya kupanda mazao.
ITAZAME HAPA VIDEO YA BE-BLACK FT EDDO "ACHA DHARAU"
No comments:
Post a Comment