Katika waraka uliowasilishwa hapo jana, Dk Ulimboka anaihoji Serikari ni hatua gani imechukua katika kufanya uchunguzi tangu alipote alipotekwa na
kupigwa vibaya sana. Katika waraka huo uliosomwa na mwanasheria a
liyemchagua yeye mwenyewe amemtaja mfanyakazi mmoja wa ikulu
ambaye aliiwasiliana naye kwa mara ya mwisho siku hiyo ya tukio. Kama haukumbuki, hizi ni baadhi ya Picha baada ya kutekwa
na kupigwa vibaya kwa Daktari huyo.
No comments:
Post a Comment