Wakati idadi ya makanisa yaliyochomwa moto kutokana na vurugu zilizotokea juzi Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam ikifikia saba, viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wameonya kuwa, Serikali ikishindwa kudhibiti matukio ya vurugu za kidini, taifa linaweza kuingia katika umwagaji damu.Vurugu hizo zilitokea juzi baada ya watu wanaodaiwa kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo cha Polisi, wakitaka wapewe mtoto aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran kwa kukikojolea.
Saturday, October 13, 2012
MAKANISA YALIYOCHOMWA DAR YAFIKA SABA.
Wakati idadi ya makanisa yaliyochomwa moto kutokana na vurugu zilizotokea juzi Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam ikifikia saba, viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wameonya kuwa, Serikali ikishindwa kudhibiti matukio ya vurugu za kidini, taifa linaweza kuingia katika umwagaji damu.Vurugu hizo zilitokea juzi baada ya watu wanaodaiwa kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo cha Polisi, wakitaka wapewe mtoto aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran kwa kukikojolea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Ashindwa kutetea kiti Mara
-
Waethiopia waendelea na mbio ndefu
-
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA 2012 ( 249.92 kB ) ORODHA YA WALIOCHAGULI...
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
12:45 Manchester United v Arsenal 15:00 Fulham v Everton 15:00 Norwich City v Stoke City 15:00 Sunderland v Aston Villa 15:00 Swansea C...
No comments:
Post a Comment