Bondia THOMAS MASHALI kushoto
akitunishiana misuri na MEDY SEBYALA wa UGANDA baada ya kupima uzito Dar
es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya
kumbukumbu ya baba wa Taifa katika pambano la Ubingwa wa Africa
mashariki litakalofanyi ukumbi wa Friends corner hotel siku ya jumapili
14/10/2012a katika anaeshudia katikati ni Rais wa TPBC Onesmo Ngowi
ambaye ndie msimamizi mkuu wa mpambano huo
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.