Wednesday, September 5, 2012
Tume ya kukusanya maoni kuhusu katiba mpya ikiongozwa na ndg Warioba imetua wilayani Kasulu mkoani Kigoma, tume hiyo itaanza kukusanya maoni ya wakazi wa wilaya ya kasulu leo Alhamis 6 august katika uwanja wa umoja Kasulu mjini kuanzia sa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Wananchi wote wanaombwa kuhudhuria na kushiriki katika shughuli hiyo moja kwa moja au kwa kuandika waraka na kuufikisha kwa tume hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa ...
-
TCRA yawatoa hofu wenye TV zenye matumbo:MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA) imewataka Watanzania waepuke uvumi wa watu wachache wanaodai kuwa ...
-
Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma ...
-
-
No comments:
Post a Comment