Monday, September 17, 2012
Timu ya watoto wa jangwani Young Afrika wanaendelea na mazoezi yao kuiva mtibwa katika michuano ya ligi kuu Tanzania. Wakati wa mazoezi yao leo hii, kocha wa timu hiyo amesema Kicha walichokipokea Yanga kutoka kwa Prisons ya huko Mbeya jumamosi iliyopita, ilikuwa ni maandalizi mabaya ya timu hiyo. Yanga imeahidi kuonesha tofauti katika michezo ijayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha waombolezaji wakati wa mazishi ya Askofu Moses Kulola leo. Mtoto wa Marehemu Asko...
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septem...
-
-
Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma ...
No comments:
Post a Comment