Monday, September 17, 2012

Madaktari waliogoma waiomba radhi serikali. Hii ni kutokana na mgomo walioufanya na kusababisha athari kubwa kwa wagonjwa, waliojutia mgomo huo ni madaktari waliokuwa chini ya madaktari bingwa ambao walifukuzwa kazi. Wamekiri kwa kusema mgomo ni kitu kisichofaa katika jamii.

No comments:

Zilizosomwa zaidi