Monday, September 10, 2012
Chama cha wananchi CUF kimeanzisha mikutano ya hadhara ya mfulurizo. Katika mkutano uliofanywa na cha hicho jana katika viwanja vya jangwani jijini Dar, Dk Ibrahim Lipumba ameishauri serikali kuweka sera itakayowasaidia wakulima wadogowadogo ili kuimarisha uchumi wa nchi na sio vinginevyo. Aliongeza kuwa nchi nyingi duniani kama vile Denmark zimeweza kujiimalisha kiuchumi kwa kuanza kuimarisha uzalishaji wa wakulima wadogowadogo. Kama serikali na wanaharakati wote watashindwa kufanyia kazi mawazo haya, bado nchi itaendelea kuwa na hali ngumu kiuchumi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
VIBANDA VILIVYOJENGWA BILA KUFUATA UTARATIBU KWENYE STENDI MPYA YA DALADALA MKOANI DODOMA KUBOMOLEWAMmoja wa wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa amri ya kuondoa moja ya vibanda vilivyojengwa kiholela kat...
-
-
Majuto anasema kuwa ana watoto tisa ingawa hakuwa tayari kuwazungumzia mama wa watoto hao zaidi ya kumwongelea mkewe wa sasa, A...
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
Basi hili la Kampuni ya Abood lililokuwa lilisafiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Tunduma mkoani Mbeya, lilimepata ajali kat...
No comments:
Post a Comment