Wednesday, August 15, 2012
Mbunge wa Mwanza Bw Andrew Chenge amewaomba wabunge wote kujadili na kuweka wazi ni lugha ipi itumike katika kufundishia shule za msingi. Amesema kuwa lugha ya kiswahili ndio inayotumika kwa sasa lakini viongozi na wabunge wanaoipa lugha hiyo kipaumbele bado wanawapeleka watoto wao katika shule zinazofundisha kiingereza tu. Chenge ameongeza kuwa hali kama hii inasababisha matabaka ya kielimu katika jamii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
1.AUSTIN MORRIS A-40 AUSTIN MORRIS A-40 Gari aina ya Austin Morris A-40 lilitengenezwa nchini Uingereza kati ya mwaka 1940 ...
-
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani Morogo...
-
YANGA 1-1 Prisons SIMBA 6-0 Mgambo Kagera 2-1 JKT Oljoro Azam 1- 1 Ashanti Coastal 1-1 Rhino Mtibwa 0-0 MBEYA City ...
No comments:
Post a Comment