Wednesday, August 15, 2012
Kambi ya upinzani Bungeni imeiomba serikali kuwaanika mawaziri ambao wamefisha mabilioni ya pesa nchini Uswis. Waziri kivuli wa fedha kutoka chama cha maendeleo na demokrasia (chadema) bw Zitto Kabwe amesema jana bungeni kuwa sh 315.5 bilion imewekwa katika benki nchini Uswis. Aliongeza kuwa Benk ya Uswis ilipotoa repoti Juni mwaka huu, ilionesha kuwa bil315.5 kufichwa nje na mawaziri na akiwemo kiongo wa ngazi ya juu serikalini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
Leo mjini Iringa baada ya wananchi waliokuwepo eneo hilo kupigwa na butwaa baada ya mzee Janja ambaye amekuwa akishinda eneo la mjini ...
-
Mchakato wa kumng’oa madarakani Spika wa Bunge, Anne Makinda ambao umeanzishwa na Mbunge wa Nzega, Dk Khamis Kigwangalla (CCM), huenda us...
-
Hali mbaya kwa wakimbizi katika kambi ya IFO 1 huk...
-
Mtangazaji wa ITV anayejulikana kwa jina la Ufoo Saro amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na mchumba wake ambaye pia alimuu na...
No comments:
Post a Comment