
Fahari Enterprenurshiop Association (FEA) ikishirikiana na farajadogeje.blogspot.com
wenye ofisi zao jijini Mwanza, Inahitaji vijana wawili chipukizi katika mziki wa bongo fleva ili kuwapeleka studio kurekodi wimbo mmoja mmoja.
Wasanii kutoka kanda ya ziwa watapewa kipaumbele zaidi.
Kama wewe ni mwanamziki chipukizi na unajiamini katika mziki nitafute ili kupata maelezo na maelekezo zaidi kuhusu hii kwa namba yangu 0713-914416
![]() |
Mkurugenzi mtendaji wa farajadogeje.blogspot.com |
Angalizo: Hakuna gharama yoyote itakayomhusu msanii atakayepata nafasi hii.
No comments:
Post a Comment