Sunday, April 12, 2015

BASI LA NGANGA EXPRESS LIKIWAKA MOTO

Bas la kampuni ya Nganga Express linalofanya safari zake za Iringa-Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto.
Ajari hiyo imetokea leo majira ya saa mbili asubuhi maeneo ya Milimani kilomita kadhaa kutoka ruaha mbuyuni. 
Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne kwa kuteketea na moto.






No comments:

Zilizosomwa zaidi