Tuesday, December 2, 2014

KENYATTA ATUMIA ASPIRIN KUTIBU EBOLA..

Kitendo cha Rais nchini Kenya Uhuru Kenyatta kumtimua kazi Bw. Kimaiyo kimenukuliwa kama kushindwa kwa rais huyo kuwa na maamuzi yenye busara kwani swali la kujiuliza ni kwamba Bw. Joseph Ole Ngaiseri atafanya muujiza gani ambao Joseph Ole Lenku alishindwa? Hapa ni sawa na kutibu ebola kwa kutumia Aspirin
Tatizo kwa mauajin yanayotokea Kenya  sio kushindwa kazi kwa Kimaiyo bali ni majeshi ya Kenya yaliyopo Somalia.
'Kama Majeshi ya Kenya yatabakia Somalia kupigana vita ya kutafuta mkia wa nyoka wakati kichwa cha nyoka kiko Mombasa kwenye misikiti iliyofungwa kisha ikafunguliwa huko ni kujaza maji kwenye gunia na sioni yakijaa" Munishi .
Ili Kenyatta kutatua tatizo ambalo ni kubwa zaidi kutokea nchini humo ni KUTOA MAJESHI SOMALIA

No comments: