Sunday, August 24, 2014

RAL MADRID LEGENDS YAILAZA TANZANIA BAO 3

IMG_6623.JPGKikosi cha wakongwe wa Real Madrid kimewaadhibu wakongwe wa Tanzania kwa kuwachapa mabao 3-1.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mabao ya Real Madrid, yote matatu yalifungwa na Ruben de la Red na goli la Tanzania lilifungwa na
Roberto Rojas ambaye alijifunga.
IMG_6626.JPG
IMG_6624.JPG
IMG_6625.JPG

No comments: