Wednesday, July 30, 2014

TAZAMA PICHA ZA AJARI YA BASI LA MORO BEST LILILOUWA WATU ZAIDI YA 15 HAPO JANA



 Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali.

 Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki

Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika

No comments: