Sunday, July 6, 2014

MABORESHO DUNI YA USAFIRI WA NJIA YA LERI

Leo nimepata bahati ya kufika Station (stend ya tren) ya Jijini Mwanza nikashukudia jambo hili na likanishtua sana.
Nauli ya kutoka Mwanza hadi Dar es salaam kwa tren iko hivi.
Daraja la kwanza 75, 000/=
Daraja la pili 54, 800/=
Daraja la tatu 27, 300/=
Sasa nikajiuliza kitu komoja.
Kama nauli ya basi kutoka Mwanza -Dar ni shilingi elfu 45, 000 hadi 50, 000 na unasafiri na kufika siku hiyo hiyo.
Sasa hiyo safari ya tren ya kukaa siku tatu barabarani inakuwa na gharama kubwa nani anapanda sasa?
Wewe unalizungumziaje swala hili mdau wangu wa ukweli.

No comments:

Zilizosomwa zaidi