Saturday, April 12, 2014

HII NDIO TASWIRA YA SASA YA JIJI LA DAR, WATU 8 WAPOTEZA MAISHA














 Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
 Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...
 Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.
 Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....
 Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....
 Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.
Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya mandela ubungo    kwelekea buguruni imetanganishwa hivyo kwa daraja hilo kukatika kwasababu ya maji yanaopita eneohilo la daraja kuzidi nguvu nguzo za daraja hilo na kulipelekuea kukatika.
Huruma sana kwa wakazi wa jiji hilo.

No comments: