WAOGESHWA HADHARANI BAADA YA KUSHINDWA KUOGA KWA ZAIDI YA MIEZI 3
Makondakta wawili wa daladala (matatu) nchini Kenya, wameogeshwa hadharani baada ya uchafu kukithiri kwa miili yao kwa kudhaniwa kutooga kwa takribani miezi mitatu.
Wasafiri wa daladala wamekuwa wakilalamikia hali ya makonda hao hadi kufikia hatua ya kuwaogesha hadharani.
Makondakta waliopata kisanga hicho wametambulika kwa majina yao Juju na James.
No comments:
Post a Comment