![nyonga](http://www.gumzolajiji.com/wp-content/uploads/2014/02/nyonga.jpg)
Ufukwe huo ambao upo jirani kabisa na stand ya mabasi ya mkoani humo na marehemu alionekana akifua nguo zake na ndipo baadae kisa kikawa mkasa kijana huyu akafikwa na haya yaliyomfika.
Mwili wa marehemu umepelekwa hospitali kwa kuhifadhiwa kwa ajili ya utambuzi na utaratibu mwingine kuendelea.
No comments:
Post a Comment