
Baada ya kutoka na ushindi mnono dhidi ya timu ya watu wa jamii (Sociology), sasa jana Waalimu wamekubali kichapo cha magoli mawili bila kutoka kwa vijana hawa machachali.
Endelea kufuatilia Blog Hii ili kupata Matokeo ya michezo mingine itakayoendelea hapo Baadae
No comments:
Post a Comment