Tuesday, November 19, 2013

WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA NDANI YA GARI LA ABIRIA

http://theclicktz.blogspot.com/ 

Katika hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika gari ambao wanasadikiwa kuwa ni machangudoa huko nchini Nigeria wamekutwa wamekufa.

 huku ikisemekana chanzo cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika gari hilo kwani vioo vyote vilikua vimefungwa  na hivyo kusaoketi.

No comments:

Zilizosomwa zaidi